Sunday, May 26, 2013

Neymar atokwa na machozi mechi ya mwisho

Saying goodbye: Neymar was visibly upset before his final outing for Santos
Neymar akifuta machozi kwenye mechi yake ya mwisho kuichezea klabu yake ya Santos baada ya kusajiliwa na Barcelona kwa kipindi cha miaka mitano. Neymar alijikuta akitoa machozi kwa kile alichokisema "Santos ndiyo walionilea daima sitoweza kuwasahau, sina budi kuondoka lakini familia nzima ya Santos (washabiki, wachezaji na uongozi wa timu) daima watakuwa ndani ya moyo wangu". Neymar (21) alijiunga na Santos miaka tisa iliyopita ameshacheza mechi 104 na kufunga magoli 54 na jana alikuwa akicheza mechi yake ya mwisho ambapo Santos ilikuwa ikicheza na Flamengo mchezo uliokwisha kwa droo ya bila kufungana. 
Saying goodbye: Neymar was visibly upset before his final outing for Santos

No comments:

Post a Comment