Saturday, June 1, 2013

Barcelona yamuaga Abidal kwa heshima zote

Send off: Eric Abidal is thrown in the air by his team-mates after his six year spell at Barcelona came to an end
Eric Abidal akiingia ndani ya uwanja akiwa ameshikilia jezi yake iliyozungushiwa kioo ikiwa ni zawadi ya shukrani aliyopewa na klabu yake. Abidal leo amecheza mechi yake ya mwisho wakati Barcelona ilipokuwa ikicheza na Malaga katika mchezo ulikwisha kwa Barcelona kushinda magoli 4-1. Barcelona imemaliza mkataba na Abidal msimu huu na kumruhusu akapumzike kutokana na maradhi ya kansa anayouguza. 
Barca
Entrance: The defender came on in the 75th minute
Abidal akimpa mkono kocha wa Barcelona Vilanova wakati akiingia uwanjani kucheza mechi yake ya mwisho dakika ya 75.
Send off: Eric Abidal is thrown in the air by his team-mates after his six year spell at Barcelona came to an end
Wachezaji wa Barcelona wakimrusha juu Abidal ikiwa ni ishara ya kumuaga mwenzao baada ya kukaa naye kwa kipindi cha miaka sita, pembeni ni mke wa Abidal akiwa na watoto wake watatu. 

No comments:

Post a Comment