Tuesday, June 18, 2013

Mancini yupo Sardinia kutuliza stress za kufukuzwa

Do my back: Roberto Mancini relaxed with his family on a beach in Sardinia
Baada ya kufukuzwa kazi ya kuifundisha Man city, Roberto Mancini kwasasa yupo kwenye kisiwa cha Sardinia kupunguza stress. Mancini alifukuzwa kazi baada ya kushindwa kushinda kombe lolote msimu uliopita na mbaya zaidi Man city ilipofungwa na Wigan kwenye fainali za FA cup. Mbali ya presha za kufukuzwa kazi, Mancini pia yupo mapumzikoni kutuliza akili baada ya misukosuko aliyoipata kwenye msimu uliopita wa ligi kuu nchini Uingereza. Tokea aondoke Man city, Roberto Mancini bado hajapata timu ya kuifundisha hadi sasa licha ya kuwa uzoefu wake na jina alilonalo haitachukua muda mrefu kupata tena timu ya kuifundisha kwa msimu ujao. 
FORMER MANCHESTER CITY MANAGER ROBERTO MANCINI  FORMER MANCHESTER CITY MANAGER ROBERTO MANCINI

No comments:

Post a Comment