Tuesday, June 4, 2013

Miami Heat kukutana na San Antonio fainali NBA

Up for the cup: Miami Heat will face San Antonio Spurs are seeing off the challenge from the Indiana Pacers
Miami Heat wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za NBA kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuwabwaga Indiana Pacers kwa vikapu 99-76. Katika mechi hiyo mchezaji wa Miami Heat LeBron alifanikiwa kutupia vikapu 32 na kuwa mfungaji bora kwenye mechi hiyo iliyokuwa ya upinzani mkali. Kwa matokeo haya Miami Heat watakutana na San Antonio Spurs kwenye fainali ya kwanza usiku wa Alhamis ya wiki hii.  
On song: LeBron James top-scored with 32 points
LeBron James akivuta kasi ya kwenda hewani kutupia kikapu
LeBron James  Floyd Mayweather
David Beckham kushoto akisalimiana na Lebron, na kulia mwenye kofia nyekundu ni bondia Floyd Mayweather. Katika mechi hii Mayweather alishinda kiasi cha paundi mil 4.2 baada ya kutabiri ushindi kwa Miami dhidi ya Indiana kwenye mchezo wa kamali chini ya Vegas Gambling Steam. 

No comments:

Post a Comment