Monday, July 15, 2013

Chelsea waendelea na mazoezi ya nguvu nchini Thai

Kalas and Terry
Wachezaji wa klabu ya Chelsea wakiwa kwenye mazoezi ya nguvu nchini Thailand. Chelsea wanatarajia kucheza na wababe wa Man utd timu ya Singha All-Stars siku ya Julai 17 ikiwa ni mechi ya kwanza kwa ya kirafiki kwa Chelsea barani Asia. Chelsea wamejipanga kuwafunga Singha ili kuwafurahisha mashabiki wake wa Thailand. 
Chelsea squad
Jose akiwa kazini 
Lampard and de Bruyne

No comments:

Post a Comment