Monday, July 15, 2013

Kaka mkuu Steve Gerrard aongeza mkataba

Done: Liverpool captain Steven Gerrard has signed an extension to keep him at the club until 2015
Steven Gerrard leo ameongeza mkataba wa miaka miwili na klabu ya Liverpool utakaomfikisha hadi mwaka 2015. Gerrard amesaini mkataba mfupi ili kujiandaa kustaafu kama atakuwa ameshachoka pindi akifikisha miaka 35 mwaka 2015. Gerrard alianza kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Liverpool mwaka 1998 na hadi sasa ameshacheza mechi 440 na kufunga magoli 98. Lengo kuu la Gerrard kuongeza mkataba ni kuendelea kuitumikia klabu yake pendwa ya Liverpool, lakini pia amekuwa na nia kubwa ya kutaka kushinda kombe la ligi, kombe ambalo amekuwa akilipania kwa muda mrefu ili kujitengenezea jina zuri atapostaafu. All the best Captain  

No comments:

Post a Comment