Monday, July 15, 2013

Cavani atua PSG, avunja rekodi ya usajili msimu huu

Edinson Cavani in France to complete record-breaking transfer to Paris Saint-Germain
Klabu ya PSG ya Ufaransa imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa Uruguay na Napoli Edinson Cavani kwa paundi mil 55.  Usajili huu wa Cavani ndiyo ghali kuliko wote msimu huu kwani hadi sasa hakuna klabu iliyoweza kusajili mchezaji kwa dau zaidi ya hili. Taarifa hizi zimekuwa ni mbaya kwa klabu za Man city, Chelsea na Madrid ambazo zilikuwa zikimnyemelea mchezaji huyu. Picha hii inaonesha Cavani akishuka kwenye gari jijini Paris Ufaransa kuelekea kwenye vipimo kabla ya kusaini mkataba na PSG.

All smiles: Edinson Cavani leaves Pitie Salpetriere hospital in Paris after taking medical ahead of his move to PSG   

No comments:

Post a Comment