Tuesday, July 16, 2013

Thiago na mdogo wake kwenye video enzi hizo

LoshermanosRafinhayThiago5424078985054115221154600396 Video emerges of Thiago Alcantara & brother Rafinha playing together as kids
Thiago (Kulia) na Rafinha Alcantara (kushoto) mtu na mdogo wake, Thiago ni mkubwa kwa Rafinha. Wote walikuwa wakichezea Barcelona lakini Thiago amehamia Bayern Munich mwaka huu. Ndugu hawa ni watoto wa mchezaji wa zamani wa Brazil  Mazinho Alcantara. Wiki hii imetoka video inayowaonesha Thiago na mdogo wake wakicheza mpira wakiwa wadogo wakati Thiago akiwa na umri wa miaka minne. Video hii mbali ya kuonesha uwezo wao pia inafurahi kwa jinsi walivyokuwa wanachezeana rafu.  Video hii ilichukuliwa na baba yao wakati anachezea klabu ya Celta Vigo

Video hii inawaonesha Thiago na Rafinha wakati wakiwa wadogo. Inachekesha walivyokuwa wakichezeana rafu...cheka kidogo

No comments:

Post a Comment