UEFA imetangaza majina ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya mwaka huu. Mchezaji mmoja tu ndiye atatangazwa tarehe 29 Agosti kuchukua tuzo hiyo baada ya kura kupigwa na waandishi wa habari wa Ulaya. Wafutao ni wachezaji kumi wanaowania tuzo hiyo
Gareth Bale (WAL) – Tottenham Hotspur FC
Cristiano Ronaldo (POR) – Real Madrid CF
Zlatan Ibrahimović (SWE) – Paris Saint-Germain FC
Robert Lewandowski (POL) – Borussia Dortmund
Lionel Messi (ARG) – FC Barcelona
Thomas Müller (GER) – FC Bayern München
Franck Ribéry (FRA) – FC Bayern München
Arjen Robben (NED) – FC Bayern München
Bastian Schweinsteiger (GER) – FC Bayern München
Robin van Persie (NED) – Manchester United FC
No comments:
Post a Comment