Thursday, July 11, 2013

Wanyama ni Mkenya wa kwanza kutua BPL

New boy: Mauricio Pochettino welcomes Victor Wanyama to the Saints
Victor Wanyama raia wa Kenya amefanikisha uhamisho wake kutoka klabu ya Celtic na kuhamia klabu ya Southampton kwa dau la paundi mil 12 na kufunga mkataba wa miaka minne. Victor amekuwa ni Mkenya wa kwanza kucheza kwenye ligi kuu ya Uingereza na imekuwa ni sifa kubwa kwa taifa la Kenya. 
Moving south: Wanyama will join the south coast side despite interest from Cardiff
Victor (22) akiwa na uzi wa Southampton mara baada ya kusaini mkataba

No comments:

Post a Comment