Mata ameweza kuanza vyema akiwa na timu yake mpya Man utd. Alicheza vizuri na ameonesha uwezo mkubwa wa kumiliki mpira na kuunganisha sehemu ya kiungo na washambuliaji. Bofya video kuangalia kila mpira aliyoucheza dhidi ya Cardiff City.
Mata akiongea baada ya mchezo dhidi ya Cardiff City
No comments:
Post a Comment