Wednesday, April 23, 2014

Barcelona huru kufanya usajili msimu ujao

Barça free to make signings this summer
Klabu ya Barcelona imekubaliwa na FIFA kufanya usajili mwishoni mwa msimu huu hadi hapo kesi yao itakapofanyiwa uchunguzi zaidi. Taarifa hizi za FIFA zimetolewa leo zikisema Fc Barcelona wataweza kusajili wachezaji na kuuza wengine kwa msimu ujao baada ya rufaa yao kupokelewa. FIFA imesema itaendelea kufanyia kazi kesi ya FCB na itakapopata ushahidi wa uhakika itaendelea na hukumu iliyotolewa. Awali FIFA iliifungia klabu ya Barcelona kufanya usajili wowote baada ya kukiuka sheria za usajili wa kimataifa. 

No comments:

Post a Comment