Club ya Man utd imejiandaa kupokea kiasi cha
dola milioni 60 mwishoni mwa msimu kwa kuwauza wachezaji wake watano. Jarida
la Man utd limeripoti kuwa wachezaji hao ni Anderson (msimu huu amecheza mechi
21, goli 2), Chicharito (mechi 28, goli 16), Lindegaard (mechi 11, kaokoa
mipira 3), Nani (mechi 17, goli 4) na Valencia (mechi 29, goli 0). Sababu kubwa zinazowafanya wachezaji hawa kukaa benchi kwa muda
mrefu na kuwa mzigo kwa Man utd ni usajili wa Robin Van Persie na Kagawa pamoja
na viwango vizuri vilivyooneshwa na Welbeck na Cleverley.
No comments:
Post a Comment