Club ya Atletico Madrid imesema inamkaribisha Torres nyumbani alipoanzia kujulikana. Uongozi wa Atletico kupitia kocha wake Simeone umesema hayo kufuatia taarifa zilizipo kuwa Chelsea inajiaandaa kumruhusu Torres kuihama timu hiyo mwishoni mwa msimu huu baada ya kushidwa kuonesha uwezo uliotarajiwa. Torres alihamia Chelsea kutoka Liverpool kwa mbwembwe nyingi lakini toka afike Chelsea maji yamekuwa mazito.
No comments:
Post a Comment