Kumi na moja bora ( XI ) ya UEFA wiki hii baada ya mechi za robo fainili UEFA kuisha. Katika kikosi hiki Borussia Dortmund inaongoza kwa kuwa na wachezaji watatu ambao walikuwa chachu ya ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Malaga. Timu zilizofuzu kwenye nusu fainali ni Madrid, Bayern,Barcelona na Dortmund. |
No comments:
Post a Comment