Saturday, May 11, 2013

Aibu, Manchester City 0 - 1 Wigan

Delight: Ben Watson headed home in the last minute as Wigan wont heir first ever FA Cup in dramatic style
Ben Watson wa Wigan kulia akishangilia goli la ushindi alilofunga dakika ya 90 dhidi ya Manchester city katika mechi ya fainali FA cup. Wigan wamefanikiwa kushinda FA cup kwa mara ya kwanza tokea klabu hiyo ianzishwe mwaka 1932.  
Silverware: Emmerson Boyce and Gary Caldwell lift the FA Cup after Wigan's dramatic success
Wigan wakinyanyua kombe la FA kwa furaha baada ya kuwaaibisha Man city ambao waliingia uwanjani wakijua wanakwenda kushinda badala yake wamejikuta wakiabishwa vibaya na vibonde wa ligi Wigan
Despairing: Joe Hart couldn't keep Watson's header out as Wigan won their first ever major trophy
Kipa wa Man city Hart akiruka bila mafanikio na kuacha mpira kuingia wavuni 
Beaten stars: City players look despondent after losing the FA Cup final
Wachezaji wa Man city wakiwa wameshika viuno baada goli kufungwa dakika ya 90 hakuamini kilichotokea wakishuduia wanamaliza msimu pasipo na kikombe chochote. Click tab ya video highlights juu ya blog hii kuangalia dondoo za mechi hii

No comments:

Post a Comment