Saturday, May 11, 2013

Bayern Munich wakabidhiwa ngao ya ubingwa

Bastian Schweinsteiger akimwagiwa pombe aina ya Paulaner na Daniel Van Buyten, Paulaner ni moja kati ya pombe ghali sana duniani inayotengenezwa nchini Ujerumani, Paulaner ni moja ya wadhamini wa Buyern Munich
Wachezaji wa Bayern Munich wakipiga picha za mwisho mwisho na kocha wao Jupp Heynckes ambaye amemaliza muda wake msimu huu na Bayern Munich imeshasaini mkataba mpya na aliyekuwa kocha wa Barcelona Pep Guardiola kwa misimu ijayo.
Hii ni ngao ya ubingwa waliyokabidhiwa Bayern Munich leo hii baada ya kutwaa ubingwa wa 22 wa ligi kuu nchini Ujerumani Bundesliga.
Nahodha wa Bayern Munich Philipp Lahm akinyanyua juu ngao ya ubingwa baada ya mchezo wa leo dhidi ya FC  Augsburg ambapo Bayern imeshinda kwa magoli 3-0. 




No comments:

Post a Comment