Sunday, May 12, 2013

Barcelona watwaa ubingwa wa La Liga

2012/13 league champions!
Klabu ya Barcelona imefanikiwa kutwaa ubingwa wa La liga baada ya Real Madrid kulazimishwa droo ya goli 1-1 na Espanyol. Kwa matokeo haya Real Madrid imefikisha pointi 81 na kubakiza michezo miwili ambayo ikishinda yote itafikisha pointi 87 wakati Barcelona hadi sasa wana pointi 88 ambazo Real Madrid hataweza kuzifikia. Huu unakuwa ni ushindi wa 22 kwa Barcelona wa kombe la ligi wakati wapinzani wao Real Madrid wameshashinda kombe hilo mara 32.  

No comments:

Post a Comment