Thursday, May 30, 2013

Real Madrid watoa jezi zao mpya, zimeleta picha mpya ya ushindani kati ya Emirates na Qatar Airways

Jezi mpya za Real Madrid
New Real Madrid Kit 13 14

New Real Madrid Shorts 2013 14Fly Emirates Real Madrid Shirt 2014 

Real Madrid Goalkeeper Kit 2014



Baada ya kutoka kwa jezi hizi za Real Madrid ni wazi kuwa mashirika makubwa ya ndege duniani Fly Emirates na Qatar Airways yameingia kwenye ushindani wa hali ya juu kwa kudhamini vilabu pinzani kwani ikumbukwe kuwa Barcelona ambaye ni mpinzani mkubwa wa Real Madrid msimu huu wametoa jezi zenye udhamini wa Qatar Airways ambalo ni shirika la ndege mpinzani wa Fly Emirates. Mashirika haya ya ndege yote yanatoka kwenye nchi za kiarabu Emirates na Qatar, upinzani wao ni wa siku nyingi lakini Emirates ndiyo walioanza kujitangaza kwa kudhamini klabu za mpira lakini kuingia kwa Qatar Airways msimu huu kwa kuidhamini Barcelona kumelifaya shirika la Emirates kutafuta mpinzani wake ili kuleta usawa kwa kujitangaza.  

Jezi mpya za Barcelona 

No comments:

Post a Comment