Thursday, May 30, 2013

Torres mapumzikoni kisiwani Ibiza na familia

Baada ya mshimshike za ligi kuu na Europa league, mshambuliaji wa Chelsea Fernando Torres amekwenda kwenye kisiwa cha Ibiza nchini Hispania kwa mapumziko na familia yake. Torres ambaye kiwango chake hakikuwa kizuri sana msimu huu ameonekana akiwa na Olalla mke wake pamoja na watoto wake Nora na Leo kwenye fukwe za kisiwa cha Ibiza, kisiwa ambacho ni maarufu kwa utalii na ghali kuliko vyote duniani. Baada ya mapumziko haya Torres anatarajiwa kujiunga na timu ya taifa ya Hispania ambayo inatarajiwa kwenda nchini Brazil kushiriki michuano ya  Confederations Cup itakayoanza Juni 16.  

On vacation: Torres sits beside wife Olalla on a sunlounger on an Ibiza beach as they enjoy a family holiday with their two children
On vacation: Wife Olalla rubs suncream on Torres's back
Time to play: Torres and his wife walk along the beach with buckets and spades in hand Time to play: The Torres family are on holiday in Ibiza

No comments:

Post a Comment