Saturday, June 1, 2013

Evans amuoa mtangazaji wa TV ya Man utd

All smiles: Jonny Evans and Helen McConnell after their wedding at Clough Presbyterian Church
Beki wa Man utd Jonny Evans akiwa na mke wake Helen McConnell  baada ya kufunga ndoa katika kanisa la  Clough Presbyterian hii leo. Helen ambaye ni mtangazaji wa TV ya Man utd  alikutana na Evans siku alipokuwa akimfanyia interview mwaka 2011, tokea siku hiyo walianza mahusiano hadi kufikia siku ya leo na kufunga ndoa wote wakiwa na umri wa miaka 24.

All smiles: Jonny Evans and Helen McConnell after their wedding at Clough Presbyterian Church
Happy day: Helen's father, Kenneth, conducted the ceremony at the church in Clough

No comments:

Post a Comment