Monday, June 24, 2013

Likizo time, wiki hii kamera zimemnasa Nani&Javier

Muda huu wachezaji wengi wanautumia kujipumzisha miili na akili kabla ya kuanza msimu ujao wa ligi mbalimbali duniani. Kamera za mamaparazi wikiendi hii zimewanasa Nani na Javier Mascherano wakila raha kwenye fukwe za Miami na Ibiza kama wanavyoonekana kwenye picha hapo chini. 

Cooling off: Manchester United's Nani and his fiancé Daniela Martins take a dip during their holiday in Miami
Nani akiwa na mpenzi wake Daniela kwenye fukwe za Miami nchini Marekani
Making waves: Nani and his fiancé Daniela Martinsniela Martins


Gentle stroll: Barcelona midfielder Javier Mascherano takes a walk with wife Fernanda in Formentera, Ibiza com
Javier Mascherano akiwa na mkewe Fernanda kwenye fukwe za Ibiza
Water break: Mascherano takes a dip in the sea with his wife on holiday in Ibiza

No comments:

Post a Comment