Friday, July 5, 2013

'Bado napenda kuendelea kuwepo Madrid' - Ronaldo

Baada ya tetesi za muda mrefu kuhusu Cristiano Ronaldo kuhamia Man utd, mchezaji huyo amefunguka wiki hii na kusema kwasasa yeye mipango yake yote ipo kwa klabu ya Madrid na hajafikiria kuhama katika kipindi hiki. Ronaldo aliyasema hayo alipoulizwa na waandishi wa habari aseme ukweli kuhusu tetesi zilizopo kuwa yeye atahamia Man utd msimu ujao. Ronaldo alisema ‘Man utd ni klabu ninayoipenda sana tokea nikiwa England, kila mtu anajua mapenzi yangu na klabu ya Man utd ni makubwa, lakini kwasasa mimi ni mchezaji wa Real Madrid, mkataba wangu bado ni mrefu na ninapenda kuendelea kuwepo Madrid, siwezi kuongelea miaka ijayo kwasababu siwezi kujua ila kwa muda huu mimi ni mchezaji wa Madrid na nitaendelea kuwepo Madrid”. Habari hizi zimekuwa mbaya kidogo kwa wapenzi wa Man utd kwani hadi sasa wachezaji wote waliopo kwenye mipango ya kusajiliwa na klabu hiyo kwa msimu ujao bado mazingira yao ni magumu akiwemo Thiago, Lewandowski, Fellaini, na Fabregas.  

1 comment:

  1. Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ndiyo tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
    Email: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete