Monday, April 21, 2014

Moyes kufukuzwa wakati wowote Manchester United

Warm reception: Moyes is introduced to the Old Trafford crowd prior to his first home game against Chelsea
Dailymail linaripoti kuwa kocha mkuu wa Man utd, David Moyes anaweza kufukuzwa kazi muda wowote kabla ya ligi kuisha. Taarifa za kufukuzwa kwa Moyes zimezagaa kwenye vyombo vya habari mara tu baada ya Man utd kufungwa na Everton wikiendi iliyopita. Kabla ya mchezo dhidi ya Everton taarifa zilizokuwepo ni kwamba Moyes angeweza kufukuzwa mwishoni mwa msimu, lakini matokeo ya Everton yamechochea moto na kufanya familia ya Glazer kushindwa kuendelea kumvumilia. Moyes alikuwa aendelee kuifundisha United kama angeweza kuifikisha timu kwenye nafasi ya nne ili iweza kushiriki michuano ya Ulaya (Uefa champions), lakini jinsi msimamo ulivyosasa United haitaweza kuishia nafasi ya nne ndani ya msimu huu. Dailymail pia limeripoti kuwa Ryan Giggs ndiye atachukua mikoba ya Moyes kwa kipindi cha wiki mbili hadi nne mpaka ligi itakapokwisha. 

Nightmare: The scale of Moyes's task at Old Trafford became apparent in the 4-1 defeat at rivals Manchester City on September 24
Bad to worse: Moyes can't believe his misfortune as United are beaten at home by West Bromwich on September 28
Low point: Moyes sits and considers his options as United lose 1-0 to his former club Everton on December 4
Protest: Moyes runs on to the pitch to appeal after a blatant handball is not given in the Tottenham match
Anger: A fan remonstrates with Moyes during the 3-0 home defeat by Manchester CityStunt: Disgruntled United fans paid for this plane to fly over the ground during a home match with Aston Villa. The plane's appearance was roundly booed by United fans in the ground

No comments:

Post a Comment