Wednesday, June 26, 2013

Tevez atua Italia kusaini mkataba Juventus

New start: Carlos Tevez arriving at Malpensa airport in Milan as he completes his move to Juventus
Carlos Tevez akiwa amezungukwa na mapaparazi, polisi pamoja na mshabiki wa Juventus baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege nchini Italia tayari kuelekea Juventus kufanya vipimo na kusaini mkataba. Tevez (29) amesajiliwa na Juventus kwa paundi mil 10 kutoka Man city. 
Bargain: The Argentine has signed for Juventus for a fee believed to be around £10million
Who goes there! The Italian police were in town to stop things from getting out of hand

No comments:

Post a Comment