Tuesday, July 16, 2013

Villa atambulishwa At Madrid kwa vurugu

Mobbed: Fans invade the pitch in Madrid as David Villa is unveiled as their newest signing
Mchezaji mpya wa At. Madrid David Villa akiwa kwenye ulinzi wa askari jana mchana wakati akitambulishwa kwa washabiki wa klabu hiyo jijini Madrid. Vurugu kubwa zilitokea kwenye uwanja, kwani mashabiki waliingia ndani ya kiwanja ili waweze kumshika Villa jambo lililosababisha vurugu na hata wengine kuumia. David Villa amejiunga na At. Madrid akitokea klabu ya Barcelona, na atachukuwa namba ya Falcao aliyehamia Monaco ya Ufaransa.  
Come here, you! Villa is smiling as he walks off the pitch amid a group of fans
Come here, you! Villa is smiling as he walks off the pitch amid a group of fans Grappled: A member of the stadium's security team tackles one supporter to the ground All smiles: Villa (centre) looks proud as he stands with his Atletico shirt Larking about: Villa looks amused as the security guards clamour to take one supporter off the field

No comments:

Post a Comment